.


  Ukiwa unataka Juzuu na Misahafu

  Share
  avatar
  Admin
  Admin

  Posts : 22
  Join date : 2010-08-28
  Age : 36
  Location : london

  Ukiwa unataka Juzuu na Misahafu

  Post  Admin on Mon Aug 30, 2010 8:44 am

  Kutokana na upungufu wa Juzuu na Misahafu Africa tumeweza kuwapata ndugu zetu Oman kuchapisha Juzuu na Misahafu kwa bei rahisi sana kama ifuatayo:
  1.Juzuu bei yake basa 150 tu na kwengine zinauzwa mpaka basa 800.
  2.Msahafu mzuri kwa Riali moja tu.
  3.Pia wamechapisha Surat Yasin pia wanauza kwa basa 140 tu.

  Mwenye kutaka kuwasaidia waislamu Huko africa afanye haraka kununua kila moja kadiri ya uwezo wake.
  Wafuatao wenyewe:
  Hilal Al Harthy simu 99459120
  Said AlMufarji 99425598

  sisi tuko tayari kutoa ushirikiano wetu wa kuzipeleka Africa ikiwa moja wenu hawezi kuzipeleka.
  Shukran


  Last edited by Admin on Mon Aug 30, 2010 9:47 pm; edited 1 time in total

  mzizimkavu

  Posts : 3
  Join date : 2010-08-30

  Re: Ukiwa unataka Juzuu na Misahafu

  Post  mzizimkavu on Mon Aug 30, 2010 8:59 pm

  Shukran sana ndugu Admin

   Current date/time is Fri Jan 18, 2019 1:52 pm